Your website is taking shape.
Kila hatua ina maana. Tunakujulisha kinachoendelea.
Hatua za website yako
Logo & picha
Picha zako zimehifadhiwa privately. Ukihitaji kuongeza picha, wasiliana na Tovuka wakati tunakamilisha dashboard ya edits.
Designs zako
Designs mbili za biashara yako zitaonekana hapa zikishakuwa tayari. Kila design imeandaliwa kulingana na taarifa, rangi na picha za biashara yako.
Ingia kwenye account yako
Tumia email uliyoweka kwenye maombi yako. Utapata access ya kusimamia website yako baada ya verification.
Open My Account ↗Manage Website
Baada ya design approval na website kuwa live, utaweza kubadilisha texts, services na picha kupitia owner dashboard yenye login salama. Taarifa za biashara, bidhaa, huduma na brand settings zinaweza kusimamiwa kwenye account yako.